Bachelor of Science in Animal Science and Production
Chuo: Sokoine University Of Agriculture (SUA)
Level
Degree
Muda
3 years
Mkoa
Morogoro
Mahitaji ya Kozi
Two principal passes in Biology and one of the following subjects:Chemistry, Physics,Geography or Science and Practise of Agriculture.
Nini maana ya "Principal Pass"?
Kwa mfumo wa TCU, "Principal Pass" inamaanisha kupata alama kuanzia 'A' mpaka 'E' kwenye somo husika la Kidato cha Sita (A-Level). Alama ya 'S' (Subsidiary) na 'F' hazihesabiki kama Principal Pass.
Points za TCU hutolewa hivi: A=5, B=4, C=3, D=2, E=1. Ili kujiunga na masomo ya Shahada (Degree), mwanafunzi anapaswa kupata jumla ya points 4.0 au zaidi kutoka kwenye Principal Passes zake mbili kuu zinazohitajika.