Sera ya Faragha (Privacy Policy)
Karibu VyuoFinder. Faragha yako ni muhimu sana kwetu. Sera hii ya faragha inaelezea jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako unapotembelea tovuti yetu.
Taarifa Tunazokusanya
Kwa ujumla, unaweza kutumia tovuti yetu bila kuweka taarifa zako binafsi (kama majina au namba za simu). Hata hivyo, tunatumia zana za uchambuzi (kama Google Analytics) ambazo zinakusanya taarifa za kawaida zisizokutambulisha moja kwa moja. Taarifa hizi ni kama:
- Kivinjari (Browser) unachotumia na kifaa (simu/kompyuta).
- Kurasa unazozitembelea kwenye tovuti yetu.
- Muda unaotumia kwenye kila kurasa.
Matumizi ya Cookies
Tovuti yetu inatumia "cookies" ili kuboresha matumizi yako. Cookies ni mafaili madogo yanayohifadhiwa kwenye kifaa chako kusaidia tovuti kutambua kifaa chako utakaporudi tena. Unaweza kuzuia matumizi ya cookies kupitia setting za kivinjari chako.
Ulinzi wa Taarifa
Tunachukua hatua madhubuti za kiusalama ili kulinda taarifa yoyote unayoweza kutupatia. Hatutauza wala kusambaza taarifa zako kwa wahusika wengine bila ridhaa yako.
Mabadiliko ya Sera Hii
Tuna haki ya kubadilisha Sera hii ya Faragha wakati wowote. Mabadiliko yoyote yatawekwa wazi kwenye kurasa hii. Tunakushauri kupitia ukurasa huu mara kwa mara.
Imeboreshwa Mwisho: Leo